Image

Burudani

DIDDY AFUNGUA DARASA GEREZANI, ANAWAFUNDISHA BIASHARA WAFUNGWA WENZAKE

DIDDY AFUNGUA DARASA GEREZANI, ANAWAFUNDISHA BIASHARA WAFUNGWA WENZAKE

Sean “Diddy” Combs amekuwa akiwafundisha wafungwa kozi maalum iitwayo Free Game With Diddy akiwa gerezani. Kozi hiyo ya wiki sita inafanyika katika Brooklyn Metropolitan Detention Center na inahusisha mpango wa masomo wa kurasa 15 unaolenga kuwapa washiriki ujuzi wa usimamizi wa biashara, ujasiriamali na maendeleo binafsi.

Image
Image
Image
Image
More forecasts: oneweather.org