PICHA ; KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI KIKIONGOZWA NA RAIS SAMIA

Baada ya viongozi na mawaziri kuwasili mapema Ikulu Dar es salaam,Kikao cha baraza la mawaziri kimeongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,Tazama picha hapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2025.


Share: