WAZIRI TABIA MWITA AMEFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MICHEZO ZANZIBAR

Mhe Tabia Mwita amewataka Wadau hao kuitunza na kuienza miundombinu ya viwanja vya michezo ili vidumu kwa muda mrefu.

Waziri wa habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita amefunguwa Mkutano wa Wadau wa michezo Zanzibar huko katika Ukumbi wa Polisi Ziwani.



Aidha amesema kufanya hivyo ni kuthamini na kuunga mkono juhudi za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Hussein Ali Mwinyi anazozichukuwa kwa wananchi wake.

Share: