
Kipenzi cha wananchi ,Mama Samia amepokelewa na alaiki ya watu mkoani Simiyu, huku furaha na bashasha zikitawala kwenye uzinduzi huu, Tazama picha za matukio zipo hapa,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Mpango wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo kitaifa kwa mwaka 2024/2025- 2028-2029 katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akihutubia viongozi mbalimbali, wafugaji pamoja na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
Ni zahiri shairi Samia Mitano tena hizi hapa picha za Shamrashamra za uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.