
Katika Ziara ya Mweshimiwa Raisi , Mkoani Simiyu tukio la ufunguzi washule kwa kufungua na kukata utepe wa jiwe la msingi katika shule ya wasichana mpyaa, huku akiongozana na waziri mwenye dhamana ya ofisi ya Raisi ,Tawala za Mikoa na Serekali za Mtaaa,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akifungua shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025.
Tukio hili lime muhusisha waziri mwenye zamana ya Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), ambayo ni taasisi muhimu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inasimamia na kuratibu utekelezaji wa sera, sheria, na mipango mbalimbali katika ngazi ya mikoa, wilaya, halmashauri, na vitongoji.Mchengerwa aliteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) mnamo Machi 31, 2021, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Aliendelea kushika wadhifa huu hadi Januari 8, 2022, alipobadilishwa na Mhe. Innocent Bashungwa. Mnamo Februari 14, 2023, aliteuliwa tena kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, na baadaye, mnamo Septemba 1, 2023, alirudi tena TAMISEMI baada ya kubadilishwa na Mhe. Angellah Kairuki. Wame kwenda sambamba kutimiza majukumu kwa mujibu washeria na ushirikiano wao kuleta tija na maendeleo katika jamii Mjini na Vijijini.
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.
#STBongoUPDATES