ST Bongo
ST Bongo
Image
ST Bongo
  • Home
  • Burudani
  • Matukio
  • Uchumi
  • Siasa
  • Teknolojia
  • Kimataifa
  • Mr Right Show
  • TV Shows
  • About Us
  • Contact

Rais samia amteua dr mataragio kuwa naibu katibu mkuu nishati

Rais samia amteua dr mataragio kuwa naibu katibu mkuu nishati
  • by Paul Junior
  • February 22, 2024 06:08

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imeeleza

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dr. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati akichukua nafasi ya Athumani Selemani Mbuttuka ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine.

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imeeleza kuwa Dr. Mataragio aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania.

  • #IKULU, #SAMIA SULUHU HASSAN, #ATHUMANI SELEMANI MBUTTUKA, #DR JAMES PETER MATARAGIO, #PETROLI TANZANI, #DR MATARAGIO
Share:
Image

Related Post

MADAGASCAR YAWEKA KATAZO LA KUTOKA USIKU KUFUATIA MAANDAMANO
  • September 27, 2025 09:55

MADAGASCAR YAWEKA KATAZO LA KUTOKA USIKU KUFUATIA MAANDAMANO

DRC NA RWANDA ZAKUBALIANA KUANZA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA AMANI
  • September 25, 2025 09:58

DRC NA RWANDA ZAKUBALIANA KUANZA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA AMANI

RAIS WA COLOMBIA ASEMA MASHAMBULIZI YA MAREKANI DHIDI YA BOTI ZA DAWA ZA KULEVYA NI  'KITENDO CHA DHULUMA'
  • September 25, 2025 09:57

RAIS WA COLOMBIA ASEMA MASHAMBULIZI YA MAREKANI DHIDI YA BOTI ZA DAWA ZA KULEVYA NI 'KITENDO CHA DHULUMA'

TRUMP ADAI HUJUMA TATU WAKATI WA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA
  • September 25, 2025 09:54

TRUMP ADAI HUJUMA TATU WAKATI WA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA

RAIS WA SOMALI ASEMA AMENUSURIKA KIFO KWENYE MAJARIBIO KADHAA YA AL-SHABAB
  • September 24, 2025 07:35

RAIS WA SOMALI ASEMA AMENUSURIKA KIFO KWENYE MAJARIBIO KADHAA YA AL-SHABAB

TRUMP: UKRAINE INAWEZA KUYAKOMBOA MAENEO YAKE YOTE YALIYOTEKWA NA URUSI
  • September 24, 2025 07:09

TRUMP: UKRAINE INAWEZA KUYAKOMBOA MAENEO YAKE YOTE YALIYOTEKWA NA URUSI

Follow Us

Image

About Us

208 Mwai Kibaki Road, Building No. 199 Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Call : +255 769 404 070

Email: sales@qigroup.tz

Category

  • Burudani
  • Matukio
  • Uchumi
  • Siasa
  • Teknolojia
  • Kimataifa

Contact Us

  • About Us
  • Contact Us
  • Terms and Conditions
  • Privacy Policy

Weekly NewsLetter

Subscribe to our newsletter to get latest news and exclusive updates.

Copyright ©2025 ST Bongo. All Rights Reserved.