NGOMA MPYA YA DIAMOND NA HARMONIZE ZIMEACHIWA SIKU MOJA

Usiku wa kuamkia leo huenda ulikua mzuri zaidi kwa wapenda Burudani baada ya wasanii wa 2 wanaounda A-List ya wasanii wa Tanzania kuachia ngoma mpya #BrandNew tena katika siku inayohesabika kua moja.

Kutoka Konde Gang @harmonize_tz ameachia ngoma yake akiwa na @iamkingrudy inayokwenda kama Best Couple ,huku @diamondplatnumz akiwa kwenye ziara yake ya kimuziki huko Ulaya yeye ameachia ngoma inayokwenda kwa jina la Down akiwashirikisha @masterpiece_yvk @lintonto.mf2 @xman.rsa.

Unayo nafasi ya kutoa maoni yako Ngoma ipi imekukosha mpaka muda huu?

Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.

Share: